Baada
ya kufanya vizuri na ngoma ya Walaghai sasa Bonge la Nyau ameachia
video ya GUSA UNASE akiwa amewashirikisha Bob Junior na aliye kuwa
mshiriki wa EBSS Menina angalia hapa
Official Video:- Bonge la Nyau ft Bob Junior & Menina – Gusa unase
Hisia
0
إرسال تعليق