- Kiza kinapozidi kuwa kinene, alfajiri inaingia
“Waislamu wanatambua msimamo wenu wakupigania haki, pia wanaamini kukamatwakwenu ni ukweli wa methali isemayo ‘kizakinapozidi kuwa kinene, ndivyo kupambazukakunavyo karibia.”
VIONGOZI wa Jumuiyaya UAMSHO Zanzibar,wamesema kwambapamoja na
kuzuiwakwao Gerezani, hawanashaka kuwa ipo siku hakiitasimama na
hatimayekupatikana Taifa Uhurula Zanzibari.
Kauli hiyo wameitoambele ya Katibu wa Jumuiya na Taasisi zaKiislamu
nchini, SheikhPonda Issa Ponda, mudamfupi baada ya kukutanana viongozi
hao Ijumaaya wiki iliyopita katikaGereza la Kiinuamiguu,lililopo Mtaa wa
KilimaniZanzibar.Sheikh Ponda, alifikagerezani hapo akiwa
katikamuendelezo wa ziara zakeanazofanya nchini nakuongea na Waislamu,
baada ya kumalizika kwakesi yake na kuhukumiwakifungo cha mwaka
mmojanje.Akiongea na Mwandishiwa habari hizi katika ofisiza Baraza Kuu la
Jumuiyana Taasisi za Kiislamu(T), Kinondoni, Jijini Dares Salaam, mapema
wikihii alisema alifanikiwakuonana na viongozi waUAMSHO na kuongea
naokwa muda wa dakika 45.
Alisema, Masheikhhao waliopo gerezanikwa muda wa miezi tisasasa, wapo
imara kiimaniambao walitumia fursahiyo kumpa salamu kwaWazanzibari huku
nayeakiwapa salamu kutokakwa Waislamu wa Bara.“Hawana hofu pamojana
kushikiliwa na Dola kwamuda wote huo, kwaniwanachoamini wao kuwawapo
katika haki, na uimarawao unakuja kutokanana kuijua vizuri historiaya
kupigania haki kuwahata Mitume wa MwenyeziMungu, walipotangazahaki,
walipata misukosukona kupigwa vita nawatawala.”
Alisema Shkh. Ponda, akielezeahali za Viongozi hao waUAMSHO.Ponda,
alisema kuwaMasheikh hao, MselemAli, Azan Khalid, Musa Juma pamoja nae
AmirFarid Had, kwa kwaujumla akiyatafakarimaongezi yao anaona
Na Bakari Mwakangwale ni wazi kuwa msimamowao ni kutorudi nyumakatika
kupigania haki nazaidi alidai walimuambiahawana shaka kuwa iposiku haki
itasimama na batili itaondoka Visiwanihumo.Alisema, Masheikh
hao,walimtaka awafikishieujumbe Wazanzibar katikamikutano yake
kuwawasiache kuzungumziahaki zao za msingiwanazodai kwani kwakufanya
hivyo ndiyokuitendea haki Zanzibar.
“Katika fursa hiimliyoipata ya kuwahutubiaWazanzibar na
hatimaeWatanganyika, waambienimsimamo wetu bado ni uleule wa kutetea
Taifa Uhurula Zanzibari na bila shakapia huo utakuwa ni Uhurukwa
Watanganyika pia”,alisema Sheikh Ponda,akimnukuu Amir FaridHad.
Sheikh Ponda alisemaviongozi hao walimuagizakutumia vema fursa
yamikutano yake Visiwanihumo na hatimae Barakwa kuinua hamasa zaWaislamu
huku wakimtakakuwaelekeza kutumia vemamafunzo na misimamowaliyoitoa juu
ya Taifahuru la Zanzibar.“Darsa zetu bila shakazimejenga imani na
akida,vilevile zinatosha kuwasemina za kujitambua.
Lakini pia tulijenga hamasakubwa na utayari wakutetea haki
hadharani.Kama Waislamuhawatakiwi kurudi nyumawasinyamaze hata
kidogo”,alisema Sheikh Ponda,akidai kuwa huo ni ujumbekutoka kwa Sheikh
MselemAli.Awali Sheikh Ponda,kwa upande wake aliwapaviongozi hao salamu
nahisia za Waislamu wa Barakufuatia ziara zake katikamikoa kadhaa ya
TanzaniaBara zilizoandaliwa na Jumuiya na Taasisi zaKiislamu mara baada
yakutoka Gerezani.
“Waislamu wa Barawanatambua msimamowenu wa kupigania haki,pia
wanaamini kukamatwakwenu ni ukweli wa methaliisemayo ‘kiza
kinapozidikuwa kinene ndivyokupambazuka kunavyokaribia’ hivyo wako
pamojananyi.” Alisema SheikhPonda, akirejea kauli yakembele ya viongozi
waUAMSHO Gerezani.Katika ziara yake hiyoVisiwani humo, SheikhPonda, pia
alipatafursa ya kuwahutubiamaelfu ya Wazanzibarkatika mihadhara
sitailiyoandaliwa na Jumuiyaya UAMSHO katikamaeneo mbalimbali yaUnguja.
Akiwahutubia maelfu yawaumini walio hudhuriakatika
muhadharauliofanyika Mkoa wa MjiniMaghribi Masjid SahabaDaraja Bovu,
Sheikh Ponda,aliwataka Waislamu waZanzibar kuchukua hadhariya njama
zinazopikwakuvunja udugu wao kwalengo la kuwagawa.Kwa mujibu wa
SheikhPonda, alisema maelfu yaWaislamu waliokutanakatika Msikiti wa
harakatimaarufu kwa jina laMsikiti wa Mbuyuni,walisema wanatafakarihatma
ya viongozi waowanaoshikiliwa na Dolakwa zaidi ya miezi tisasasa.
“Msimamo kama huoulitolewa tena katikamkusanyiko mkubwauliofanyika
siku iliyofuata(Ijumaa iliyopita) maratu baada swala ya Ijumaakatika
Msikiti wa kwaMpendae kwa Kificho.
Kuonesha hisia zenukama hivi bila shakamnajenga nguvu kubwaya pamoja
na wakatiutakapofika watawatoatu viongozi wenu”.Alisema Sheikh
Ponda,akiwahutubia waumini waNungwi.Aidha Shkh Ponda,aliwataka waumini
waNungwi kujiimarishakwa miradi ya maendeleokwa kutumia vizurihazina
kubwa ya ardhiwaliyonayo ambayoimekuwa ikivamiwa kwakasi kubwa na
wawekezajiwa mahoteli ya kitalii,ambao kwa asilimia tisiniwanaharibu
utamaduni waMzanzibar.
Sheikh Ponda, alisema Jumuiya ya UAMSHO,inatarajia kufanyamuhadhara
mkubwa sikuya Ijumaa (leo) katikaMsikiti wa Mbuyuni,lengo likiwa ni
kufanyamajumuisho ya mihadharailiyofanyika akiwa hukowiki iliyopita.
chanzo:annur
Post a Comment