PSPF wazindua mpango wa uchangiaji wa hiari.


IMG_1236

Mkurugenzi wa Uwekezaji, Mipango na Utafiti kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) Bw. Gabriel Silayo(kushoto) akitoa ufafanuzi kuhusu maendeleo yaliyofikiwa na mfuko huo tangu kuanzishwa kwake kulia ni Meneja Mawasiliano,Masoko na Uenezi kutoka Mfuko huo Bi.Constantina Martin.(PICHA NA FRANK MVUNGI-MAELEZO).
IMG_1231
Meneja Mawasiliano, Masoko na Uenezi kutoka Mfuko wa Pensheni kwa Watumishi wa Umma (PSPF) Bi.Constantina Martin(kulia) akizungumza na waandishi wa habari leo Jijini Dar es salaam kuhusu Mpango Mpya wa uchangiaji wa hiari mahususi kwa ajili ya kuwapatia wananchi wasio wanachama wa mifuko ya hifadhi ya jamii fursa ya kujiunga na mfuko huo, kushoto ni Mkurugenzi wa Uwekezaji, mipango na Utafiti Bw. Gabriel Silayo.

Post a Comment

Previous Post Next Post