|
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiongea
na mmoja wa wanafunzi wa shule ya walemavu wa kusikia ya Buguruni
akiwa na mwanzilishi na mkuu wa Taasisi ya Starkey Hearing Foundation Bw.
Bill Austin alipohudhuria shughuli ya utoaji wa vifaa vya kuongeza usikivu kwa
walemavu wa kusikia katika viwanja vya hoteli ya Serena jijini Dar es salaam
leo Julai 15, 2013
|
إرسال تعليق