Mkuu wa Mkoa Morogoro, ambaye alikuwa mgeni rasmi wa mkutano huo, Joel
Bendera (kushoto) akiwa na Mwakilishi wa Shirikisho la Mpira wa Miguu
Duniani (FIFA), James Johnson (katikati) pamoja na Rais wa Shirikisho la
Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Leodegar Tenga wakati wa Mkutano Mkuu
maalum wa TFF, kwenye Ukumbi wa NSSF WaterFront,Dar es Salaam
Johnson wa FIFA akimpongeza Rais wa TFF, Leodegar Tenga baada ya kuhutubia
Sehemu ya wajumbe wakiwa kwenye Mkutano Mkuu maalumu wa TFF, Dar es
Salaam jana. Mstari wa mbele kutoka kushoto ni wajumbe wa Mkoa wa Dar es
Salaam, Msanifu Kondo, Benny Kisaka na Almasi Kasongo na Dunstaun
Mkundi kutoka Mkoa wa Lindi.
Viongozi wakiomba dua wakati wa ufunguzi wa mkutano huo. Kutoka kushoto
ni Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano
huo, Joel Bendera, Mwenyekiti wa Baraza la Michezo la Taifa(BMT), Dioniz
Malinzi, Makamu wa Kwanza wa Rais wa TFF, Athuman Nyamlani na Makamu wa
Pili wa Rais wa TFF, Ramadhan Nasibu.
Wajumbe wakiomba dua kabla ya kuanza mkutano huo. Kutoka kushoto ni
Mwenyekiti wa Kagera Sugar, Yahya, Mwenyekiti wa Klabu ya Azam FC, Said
Mohamed na Ahmed Aurora ambaye ni mwenyekiti wa Coastal Union
Tenga akihutubia mkutano huo
Mwakilishi wa FIFA, Johnson akitoa maneno yake kwenye kutano huo
Mwenyekiti wa BMT, Malinzi akihutubia katika mkutano huo
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano huo, Joel Bendera, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu maalum wa TFF, kwenye Ukumbi wa NSSF WaterFront, Dar es Salaam
Mwanahabari wa gazeti la Jambo Leo akiwa kazini.
Mkuu wa Mkoa wa Morogoro ambaye alikuwa mgeni rasmi katika mkutano huo, Joel Bendera, akihutubia wakati wa ufunguzi wa Mkutano Mkuu maalum wa TFF, kwenye Ukumbi wa NSSF WaterFront, Dar es Salaam
إرسال تعليق