Kumesikika
sauti za shangwe na vigelegele baada ya Big Brother kutangaza kuwa ruby
na diamond house zinaungana na washiriki wote sasa watakuwa nyumba
moja.
Muda mfupi baada ya kumalizika kwa Airtel Arena Challenge Big Brother alitoa tangazo hilo muhimu:
“Rubies you have won the Airtel Challenge. However, this week, there
will be no swap happening. It is with great pleasure that I announce the
official merging of the Emerald House, Ruby House and the Diamond
House”, alisema Biggie.
“You will now all call the Ruby House your home.”
Kufuatia tangazo hilo, The Chase inaendelea kunoga zaidi na sasa
kwakuwa washiriki wote watakuwa kwenye nyumba moja, tutarajie drama
zaidi

إرسال تعليق