SIMBA YANASA KIFAA KINGINE


.
Simba sports Club ya Dar es Salaam imefanikiwa kumsajili mfungaji bora wa michuano ya Kagame Cup 2013 Hamis Tambwe kutokea Vital O ya Burundi kwa kumpa mkataba wa miaka miwili July 12 2013 kuanza kuwatumikia wekundu hao wa Msimbazi kwa mujibu wa shaffihdauda.com

.
Tambwe mbele ya mwenyekiti wa kamati ya usajili ya Simba.

Post a Comment

أحدث أقدم