KIUNGO Steven Gerrard amesaini Mkataba
mpya wa miaka miwili wa kuendelea kuichezea Liverpool, ambao utamfanya
adumu Anfield hadi atakapotimiza miaka 35.
Nahodha huyo wa Liverpool, ameiambia tovuti ya Liverpool kwamba: "Nafikiri kila mmoja anajua inamaanisha nini kwangu,".
Imekubali: Nahodha wa Liverpool, Steven Gerrard amesaini Mkataba wa kuendelea kuichezea klabu hiyo hadi mwaka 2015

Post a Comment