Usiku wa kuamkia leo kulifanyika Shindano la kumsaka mrimbwende wa
Temeke, ambapo Svtlona Nyameyo aliwamwaga warembo 15 na kuibuka kidedea,
huku nafasi ya pili ikitua kwa Narietha Boniface na Latifa Mohamed
akifunga pazia la Tatu Bora itakayojiunga katika kambi ya Taifa ya
kumsaka Miss Tanzania 2013/14.
Svtlona Nyameyo anyakua taji la Redd's Miss Temeke 2013
Hisia
0
Tags
ENTERTAINMENT
إرسال تعليق