Swahili
TV itatoa tuzo za heshima mwaka huu 2013, kwa mara ya kwanza kwa wadau
waliojitoa kusaidia jamii zao. Washindi watatoka katika nchi za
Tanzania, Kenya, Uganda, Rwanda, Burundi, pamoja na Zambia, na Congo
DRC. Tutatoa taarifa hapo baadae vigezo na jinsi ya kushiriki, wapi na
lini tuzo zitatolewa.
Post a Comment