Teaser ya reality show ya Wema Sepetu - Tazama

Muigizaji wema sepetu amedondosha teaser ya reality show yake inayotarajiwa kutoka soon. katika teaser hiyo Wema ameongelea ishu yake yeye  na Diamond kwa ufupi amesema
"once upon a time, there was Diamond and Wema Sepetu, and these people fell in love, and never had sex, sijawahi kumpenda"
Wema pia amezungumzia imani yake juu ya uchawi na kusema 
"Uchawi upo, nimeshawahi kurogwa, its very very hard"
Zaidi tazama teaser ya ujio wa reality show hiyo

Post a Comment

Previous Post Next Post