WAJUMBE WA TUME YA MABADILIKO YA KATIBA WAMTEMBELEA MKUU WA WILAYA YA MAKETE


 Mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba Mzee Lyimo (kushoto) akifurahia kuonana na mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro (kulia) wakati wajumbe hao walipomtembelea nyumbani kwake. Katikati ni mratibu wa mchakato wa katiba mpya ngazi wilaya ya Makete Gregory Emannuel
Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro (kulia) akikumbatiana na mwenyekiti wa wajumbe wa tume waliokuja wilayani Makete Bi Salama Kombo wakati wajumbe hao walipomtembelea nyumbani kwake
 Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro (kushoto) akiongozana na wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba, mratibu wa mkoa wa Njombe na wilaya ya Makete wakati walipomtembelea nyumbani kwake
 Mratibu wa katiba mpya mkoa wa Njombe ambaye pia ni afisa habari ofisi ya mkuu wa mkoa wa Njombe Bw. Chrispher akiwatambulisha wageni alioambatana nao kwa mkuu wa wilaya
 Mzee Lyimo na Salama Kombo wakizungumza mawili matatu na mkuu wa wilaya ya Makete
 Wajumbe wakizungumza na mkuu wa wilaya
 Bi Salama Kombo(kulia) akiagana na mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro mara baada ya mazungumzo
Picha ya pamoja ya wajumbe na mkuu wa wilay

Post a Comment

Previous Post Next Post