Mjumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba
Mzee Lyimo (kushoto) akifurahia kuonana na mkuu wa wilaya ya Makete
Josephine Matiro (kulia) wakati wajumbe hao walipomtembelea nyumbani
kwake. Katikati ni mratibu wa mchakato wa katiba mpya ngazi wilaya ya
Makete Gregory Emannuel
Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine
Matiro (kulia) akikumbatiana na mwenyekiti wa wajumbe wa tume waliokuja
wilayani Makete Bi Salama Kombo wakati wajumbe hao walipomtembelea
nyumbani kwake
Mkuu wa wilaya ya Makete Josephine
Matiro (kushoto) akiongozana na wajumbe wa tume ya mabadiliko ya katiba,
mratibu wa mkoa wa Njombe na wilaya ya Makete wakati walipomtembelea
nyumbani kwake
Mratibu wa katiba mpya mkoa wa Njombe
ambaye pia ni afisa habari ofisi ya mkuu wa mkoa wa Njombe Bw. Chrispher
akiwatambulisha wageni alioambatana nao kwa mkuu wa wilaya
Mzee Lyimo na Salama Kombo wakizungumza mawili matatu na mkuu wa wilaya ya Makete
Wajumbe wakizungumza na mkuu wa wilaya
Bi Salama Kombo(kulia) akiagana na mkuu wa wilaya ya Makete Josephine Matiro mara baada ya mazungumzo
Picha ya pamoja ya wajumbe na mkuu wa wilay
إرسال تعليق