Ikiwa ni wiki ya saba tangu kuanza kwa BBA 2013 THE CHASE,leo ni siku nyingine ambapo kama kawaida kila wiki lazima washiriki wawili waage mashindano.
SELLY(GHANA) hapo juu ndiye wa kwanza kutoka siku ya leo na kufatiwa na NITASHA(MALAWI) hapo chini ndio aliyekusanya jamvi kwa leo.

Post a Comment