WALIOTOLEWA BBA USIKU HUU HAWA HAPA

http://graphic.com.gh/images/stories/showbiz/selly2.jpg


Ikiwa ni wiki ya saba tangu kuanza kwa BBA  2013 THE CHASE,leo ni siku nyingine ambapo kama kawaida kila wiki lazima washiriki wawili waage mashindano.
SELLY(GHANA)  hapo juu ndiye wa kwanza kutoka siku ya leo na kufatiwa na NITASHA(MALAWI)  hapo chini ndio aliyekusanya jamvi kwa leo.
 http://cdn.dstv.com/mms.dstv.com/content/images/dstv/bba2013/bba8_profile_natasha_malawi_lg.jpg

Post a Comment

أحدث أقدم