Wanafunzi wa shule ya sekondari ya Junior Seminari wakiwa katika kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) wakimsikiliza Askofu wa Kanisa hilo, Jacob Mameo Ole Paulo (hayupo pichani) mara baada ya jumla ya wanafunzi 600 wa kidato cha kwan
za
hadi sita kufanya maandamano yaliyoanzia shuleni hadi ofisi za askofu
yaliyoanza majira ya saa 12 asubuhi wakimtaka kumuondoa kazini mkuu wa
shule hiyo kwa madai mbalimbali....
habari zaidi endelea kutembelea hapa tutaleta kwa kina zaidi
Picha kwa Hisani ya mdau Juma mtanda
Post a Comment