BENDERA YA TAIFA YAKUTWA IKIPEPEA BAR

Dar es salaam yetu katika pitapita zake ilibaini tukio hilo  na kujalibu kuuliza na kupokea jibu moja tuu labda imewekwa kama moja ya pambo.


Katika hali isiyo ya kawaida mitaa ya Sinza Shekilango imeonekana Bendera kubwa ya Taifa ikiwa inapepea ndani ya Bar huku kila mtu akitazama na kukaa kimya

 
Hata hivyo juhudi za kuwauliza wahusika kwa nini wamefanya kuweka Bendela hiyo kubwa ya Taifa ambayo hupatikana maeneo husika na kwa kibali hazikufanikiwa kwa kila mtu kumtupia mwenzake mpira
Mpaka tunaondoka eneo la Tukio bado Bendera iliendelea kupepea na kwamba ipo hapo kila siku

 hizo ni Baadhi ya picha ya eneo hilo(PICHA NA DAR-ES-SALAAM YETU BLOG)

Post a Comment

Previous Post Next Post