Bongo
Flava Prince, Diamond Platnumz yupo nchini Afrika Kusini kishule na
kikazi pia. Staa huyo wa Kesho ameshoot video ya wimbo wake mpya ambao
bado haujulikani ni upi mpaka sasa.
Hata hivyo tofauti na video zake za awali, hii mpya amekata kisu
kirefu zaidi kwa kushoot na miongoni mwa gari yenye thamani zaidi
duniani, Ferrari. Cha kufurahisha zaidi ni kuwa gari hiyo
inayotengenezwa na Waitaliano, imewekewa namba za gari binafsi kwa
kuandikwa ‘Platnumz’ na Wasafi’.

Mafundi wa Afrika Kusini wakihakikisha plate ya Wasafi imekaa vizuri


Inaonekana hii, Diamond Platnumz aka Coca Boy amejiandaa kwenda international zaidi.
Picha: Babutale (Instagram)

Post a Comment