Boeing
VC-25A ni ndege ambayo imetengenezwa maalumu kwajili kutembelea Rais wa
Marekani kwenda sehemu mbalimbali duniani, hapa chini ni picha Rais
Obama akifanya shughuli za kiofisi na mapumziko akiwa ndani ya ndege
hiyo
Rais Barack Obama wa Marekani

Ndege ya Rais Obama, Air Force One, maalumu kwa rais wa Marekani

Rais Obama akitazama nje kupitia dirisha la ndege hiyo

Rais Obama akipiga simu akiwa angani



Rais Obama akiwa na Staff Secretary, Dough Cramer

Obama akijadili
jambo na Naibu katibu wa habari Josh Ernest kushoto na Mkurugenzi wa
National Economic Council, Gene Sperling (katikati)

Rais Obama akiangalia nje pamoja na watoto wa Deputy Staff of Policy Nancy-Ann DerParle, Nicky na Zachary



Obama akicheza na mbwa wake, Bo

إرسال تعليق