Wakali wa Gunners: Theo Walcott na Aaron Ramsey waliifungia Arsenal. |
USHINDI wa mabao 3-1 ambao Arsenal
imeupata kwenye Uwanja wa Olimpiki mjini Helsinki dhidi ya Manchester
City katika mchezo wa kirafiki unamaanisha The Gunners wanaweza
kuendelea na maisha bila Luis Suarez.
Arsene
Wenger anahaha kusaka saini ya mshambuliaji huyo asiyefurahia maisha
Liverpool akiwa ana matumaini makubwa ya kumpata Suarez, licha ya ofa
yake ya Pauni Milioni 40 kupigwa chini.
Katika
mchezo wa leo, mabao ya Arsenal yamefungwa na Theo Walcott dakika ya
tisa, Aaron Ramsey dakika ya 59 na Olivier Giroud dakika ya 62, wakati
bao la City limefungwa na Negredo dakika ya 80.
Kikosi
cha Arsenal kilikuwa: Szczesny/Fabianski dk46, Sagna/Jenkinson dk73,
Mertesacker, Koscielny, Gibbs, Arteta/Perez dk68, Ramsey/Hayden dk88,
Wilshere/Cazorla dk46, Podolski/Giroud dk46, Oxlade-Chamberlain/Zelalem
dk74 na Walcott
Manchester
City: Hart, Zabaleta (Richards 46), Kompany, Lescott/Boyata dk86,
Clichy, Milner/Navas dk46, Fernandinho/Rodwell dk80, Toure/Garcia dk68,
Silva, Negredo/Jovetic dk68 na Dzeko/Nasri dk46.
Pablo Zabaleta na Alex Oxlade-Chamberlain (kulia) wakipambana
Top Gunners: Theo Walcott and Aaron Ramsey were two of Arsenal's scorers in their friendly win
Wakali wa Gunners: Theo Walcott na Aaron Ramsey waliifungia Arsenal leo
Top Gunners: Theo Walcott and Aaron Ramsey were two of Arsenal's scorers in their friendly win
Mashabiki wa Arsenal
Wakali wa Gunners: Theo Walcott na Aaron Ramsey waliifungia Arsenal leo
Top Gunners: Theo Walcott and Aaron Ramsey were two of Arsenal's scorers in their friendly win
Mashabiki wa Arsenal
إرسال تعليق