Raymond Maro akiwa katika picha ya furaha pamoja Laurine Ogoma Prisca
na mtangazaji Roger Rajar baada ya mahojiano na idhaa ya Kifaransa ya
VOA.
Mtangazaji maarufu wa VOA Straight Talk Africa Shaka Ssali akiwa katika
picha ya pamoja na Balozi wa Vijana katika Jumuiya ya Afrika mashariki
kwa upande wa Tanzania ndugu Raymond Maro pamoja na mtangazaji mwenza
Mariama Diallo na Martin Buhendwa kiongozi wa kundi la Friends of Congo
kwa upande wa Vijana ndani ya studio za VOA siku ya Kipindi cha Straight
Talk Africa kilichojadili nafasi ya vijana katika jamii na siasa.
Raymond Maro akishiriki kipindi cha televisheni cha VOA - French akiwa
na Laurene Saucer na mtangazaji wa kipindi Roger Rajah Muntu ndani ya
jumba la VOA
إرسال تعليق