BREAKING NEWS: MHADHIRI WA CHUO KIKUU UDSM AUWAWA KWA KUPIGWA RISASI

Patrick Rweyongeza, Mhadhiri (College of Engeneering) UDSM, ameuawa leo kwa kupigwa na risasi. 


Tukio limetokea majira ya mchana maeneo Magomeni TANESCO wakati marehemu akielekea mjini ambapo watu waliokuwa wamepakizana kwa pikpiki kumfuata na kumfyatulia risasi kisha kutokomea. 

Haijafahamika kama kuna uporaji uliofanyika au la.


CHANZO:NEWSALERT

Post a Comment

Previous Post Next Post