HIKI NDIO KISA CHA STANLEY MSUNGU KUWAPA MAKAVU WASANII WENZAKE

Hiki ndicho kilichoandikwa na muigizaji huyo maarufu anayefanya vizuri kwasasa katika filamu "
"ole wenu wasambazaji wa movies mnaoajiri wasanii kwenye ofisi zenu, hao mnaowaweka ni masnitch wanataka kazi zao ndio ziuzwe tu wakati uwezo wao mdogo, mtaendelea kuangukia pua kila siku, kwa nini msiajiri wataalamu ndio wakague kazi za wasanii? najua mimi sina tabu ila kuna wenye shida hii pia najua kuwa masnitch watanimaind ila kipaji kanipa mungu halafu najituma sana hamna wa kunizuia kuwachana, wasanii wezangu hasa wachanga msikate tamaa mungu ndie kila kitu sina uwezo wa kuwasaidia wote ila one day yupo atakae ninyooshea kidole ingawa najua kuwa na mimi ni mwanadamu na si mkamilifu "kwa kuwa hakuna aliyeumbwa anajua" mungu niongoze nisimame kwenye mstari: ASANTE MUNGU"

Post a Comment

Previous Post Next Post