MASHABIKI wa muziki jana walipata
burudani ya kukata na shoka katika sikukuu ya Idd Pili kwenye Ukumbi wa
Dar Live ulioko Mbagala-Zakhem jijini Dar es Salaam ambapo
walichenguliwa vilivyo na bendi za Extra Bongo na TOT.
(NA ISSA MNALLY / GPL)
إرسال تعليق