
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein,(wa tatu kulia) akiwa na Viongozi wakati wa futari
aliyowaalika katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar leo usiku

Mke wa Rais wa Zanzibar Mama Mwanamwema Shein,(wa pili kulia) akiwa na
Viongozi akina mama wakati wa Futari aliyowaandalia katika viwanja vya
Ikulu Mjini Zanzibar leo usiku

Baadhi ya Akina Mama walioalikwa katika futari iliyoandaliwa na Rais
wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein, na Mkewe Mama Mwanamwema Shein,leo usiku katika viwanuja vya
Ikulu Mjini Zanzibar

Wananchi mbali mbali wa Manispaa ya Mji wa Unguja,waliohudhuria katika
futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,katika viwanja vya Ikulu Mjini
Unguja leo usiku

Wananchi na Viongozi wakiitikia dua iliyoombwa na Mufti Mkuu wa Zanzibar
Sheikh Saleh Omar Kaabi leo baada ya futari iliyoandaliwa na Rais wa
Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed
Shein,katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja leo usiku

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein,akisalimiana na Rais Mstaaafu wa Zanzibar alhaj Dk.Amani
Abeid Karume, baada ya futari aliyowaalika wananchi katika viwanja vya
Ikulu Mjini Unguja leo usiku.

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali
Mohamed Shein,akiagana na wananchi katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja
leo usiku,baada ya futari aliyowaalika katika mwezi huu wa Ramadhan

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein,na Mkwe Mama Mwanamwema Shein,wakiagana na wananchi katika viwanja vya Ikulu Mjini Unguja leo usiku,baada ya futari waliyowaalika katika mwezi huu wa Ramadhan.[Picha na Ramadhan Othman Ikulu.]
Post a Comment