Mabalozi wa nchi za bara la Asia wazungumzia maonesho ya nane ya filamu za nchi zao yatakayofanyika Dar es Salaam.


FRANK MONTAGE 176

Kiongozi wa mabalozi  saba kutoka nchi za Bara la Asia, ambaye ni Balozi wa Pakistan Tajammul Altaf  (wane kushoto) akizungumza na waandishi wa habari leo katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari – MAELEZO  kuhusu maonesho ya nane ya filamu za nchi za bara hilo yatakayofanyika katika ukumbi wa Quality Center Cinema uliopo barabara ya Nyerere jijini Dares Salaam kuanzia Agosti 14 hadi 23, mwaka huu. (Picha zote na  Anna Itenda – Maelezo).
FRANK MONTAGE 175
Baadhi ya mabalozi kutoka nchi za Bara la Asia wakisubiri kuingia katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari – MAELEZO   leo kwa ajili ya kuzungumzia maonesho ya nane ya filamu za nchi za bara hilo yatakayofanyika katika ukumbi wa Quality Center Cinema uliopo barabara ya Nyerere jijini Dares Salaam kuanzia Agosti 14 hadi 23 mwaka huu.
FRANK MONTAGE 172
Baadhi ya mabalozi kutoka nchi za Bara la Asia wakisubiri kuingia katika ukumbi wa mikutano wa Idara ya Habari – MAELEZO   leo kwa ajili ya kuzungumzia maonesho ya nane ya  filamu za nchi za bara hilo yatakayofanyika katika ukumbi wa Quality Center Cinema uliopo barabara ya Nyerere jijini Dares Salaam kuanzia Agosti 14 hadi 23, mwaka huu.

Post a Comment

أحدث أقدم