Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akizindua rasmi kitita cha kuhamasisha ulishaji
bora wa watoto katika jamii kwa kukata utepe wakati wa kilele cha
maadhimisho ya wiki ya unyonyeshaji duniani yaliyofanyika katika viwanja
vya Mnazi Mmoja tarehe 7.8.2013.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akihutubia waalikwa na wananchi wa Dar es
Salaam wakati wa kuhitimisha kilele cha maadhimisho ya wiki ya
unyonyeshaji duniani.yaliyofanyika kwenye Viwanja vya Mnazi Mmoja tarehe
7.8.2013.
Mke wa
Rais Mama Salma Kikwete akifurahi alipokutana na mtoto Muktar Abdul
mwenye umri wa miezi sita akiwa na mama yake Lucia Lingwanda, mkazi wa
Chanika, wilayani Ilala, wakati Mama Salma alipotembelea mabanda ya
maonesho ya wiki ya unyonyeshaji duniani katika sherehe zilizofanyika
Mnazi Mmoja tarehe 7.8.2013.
Baadhi
ya wanawake waliohudhuria sherehe za kilele cha maadhimisho ya wiki ya
unyonyeshaji duniani yaliyofanyika Mnazi Mmoja na kufungwa rasmi na Mke
wa Rais Mama Salma Kikwete tarehe 7.8.2013
إرسال تعليق