Maonyesho ya Nanenane yanayoendelea katika Viwanja vya Nzuguni-Dodoma
leo hii yatanafikia Mwisho wake. Tazama Picha tofautitofauti za mazao ya
Horticulture na burudani zilizotokea viwanja vya Nanenane
Nzuguni-Dododoma.
Chini: Wasanii wa Kikundi cha Sanaa wa Taasisi ya Sanaa na
Utamuduni ya Bagamoyo wakitoa burudani kwa wakulima waliohudhuria
Maonesho ya Nanenane.





Wanafunzi wakifuatilia filamu fupi katika banda la TAHA na TAPP kwa ajili ya kujifunzi mbinu za kilimo bora

Mboga aina ya mnavu aliyopandwa mbele ya banda la TAHA/USAID-TAPP

Mchicha uliopandwa katika banda la Maonyesho la wakulima wa mbogamboga kutoka Wilaya ya Chamwino Dodoma


Bilinganya ambazo zimeoteshwa vyema kwenye viwanja vya Nzuguni Dodoma kwa ajili ya maonyesho ya Nanenane

Spinach

Kabechi nyekundu

Nyanya aina ya Meru


Vitunguu vyekundu aina ya Bombay





إرسال تعليق