Bondia Mohamedi Nassibu akinyooshwa mkono juu kuashilia mshindi wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo huo yanayoenderea katika ukumbi wa CCM Kata 15 Temeke mwisho. |
Wasimamizi wa mashindano hayo wakifuatilia kwa makini, kushoto ni Remmy Ngabo na Majeshi Kibilabila |
Bondia
Mussa Mohamed Kushoto akimshambulia Mselemi Abbas wakati wa mashindano
ya wazi ya mchezo wa masumbwi yanayoendelea katika ukumbi wa CCM Kata 15
Temeke mwisho, Mohamedi alishinda kwa point .Picha nawww.superdboxingcoach. |
Bondia Mussa Mohamed Kushoto akinyoshwa kuwa mshindi baada ya mpambano huo |
mabondia wakiwa katika picha ya pamoja. |
Mabondia Mussa Kimweri kushoto na Iddi Pialali wakiwa katika picha ya pamoja |
Mabondia Mussa Kimweri |
Mabondia wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde |
Bondia nasa Mafuru akioneshwa kuwa yeye ni bingwa Dhidi ya Mussa Kimweri wakati wa mashindano ya wazi
Mabondia Omari Kimweri kulia na Nasa Mafuru wakiwa wamepozi
Post a Comment