MASHINDANO YA NGUMI TEMEKE YAENDEREA KUPAMBA MOTO


Bondia Mohamedi Nassibu akinyooshwa mkono juu kuashilia mshindi wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo huo yanayoenderea katika ukumbi wa CCM Kata 15 Temeke mwisho. 
Wasimamizi wa mashindano hayo wakifuatilia kwa makini, kushoto ni Remmy Ngabo na Majeshi Kibilabila
Bondia Mussa Mohamed Kushoto akimshambulia Mselemi Abbas wakati wa mashindano ya wazi ya mchezo wa masumbwi yanayoendelea katika ukumbi wa CCM Kata 15 Temeke mwisho, Mohamedi alishinda kwa point .Picha nawww.superdboxingcoach.blogspot.com
Bondia Mussa Mohamed Kushoto akinyoshwa kuwa mshindi baada ya mpambano huo
mabondia wakiwa katika picha ya pamoja.
Mabondia Mussa Kimweri kushoto na Iddi Pialali wakiwa katika picha ya pamoja
Mabondia Mussa Kimweri
Mabondia wakioneshana umwamba wa kutupiana makonde

Bondia nasa Mafuru akioneshwa kuwa yeye ni bingwa Dhidi ya Mussa Kimweri wakati wa mashindano ya wazi
Mabondia Omari Kimweri kulia na Nasa Mafuru wakiwa wamepozi

Post a Comment

أحدث أقدم