Mratibu
wa Mpango kutoka Mpango wa Kurasimisha Rasilimali na Biashara za Wanyonge Tanzania(MURABITA)
Bibi Seraphia Mgembe akieleza kwa
waandishi wa habari juu ya mipango mkakati mbalimbali inayotekelezwa na ofisi
hiyo inayolenga kumuinua mwananchi kutoka katika umaskini,katika mkutano na
waandishi wa habari uliofanyika leo Jijini Dar es salaam kulia ni Mkurugenzi
Msaidizi Idara ya Habari Zamaradi Kawawa.
Mkurugenzi wa Urasimishaji kutoka mpango wa kurasimisha rasilimali na biashara
za wanyonge Tanzania(MURABITA) Stephen Rusibamayila KUSHOTO akifafanua jambo
kwa waandishi wa habari juu ya mipango mkakati mbalimbali inayotekelezwa na
ofisi hiyo inayolenga kumuinua mwananchi kutoka katika umaskini,katika mkutano
na waandishi wa habari uliofanyika leo Jijini Dar es salaam.
إرسال تعليق