NEWZ:- Erasto Msuya kuzikwa Jumanne Kairo kwa baba yake mzazi

  HABARI ZA KWANZA!! 

 

Taarifa kutoka ndani ya familia ni kuwa Erasto Msuya atazikwa jumanne maeneo ya kairo kwa baba yake mzazi.ingawa ni mpare lakini hatazikwa upareni kwasababu mzee msuya ameishi kairo zaidi ya miaka 40 hivyo kairo ni nyumbani kwa Erasto.

Post a Comment

Previous Post Next Post