HABARI ZA KWANZA!!
Taarifa kutoka ndani ya familia ni kuwa Erasto Msuya atazikwa jumanne
maeneo ya kairo kwa baba yake mzazi.ingawa ni mpare lakini hatazikwa
upareni kwasababu mzee msuya ameishi kairo zaidi ya miaka 40 hivyo kairo
ni nyumbani kwa Erasto.

إرسال تعليق