Taarifa za awali kutoka kwa kamanda wa polisi mkoa wa Morogoro Ndg Faustin Shilogile amesema mpaka sasa hajapata taarifa za kupigwa risasi Shekh Ponda. Anasema naye anazisikia taarifa kwa watu na kwamba atakapopata taarifa za Uhakika ataweka wazi swala hilo
Endelea kuwa nasi kwa taarifa zaidi
إرسال تعليق