Nimechoka kuandamwa na kesi ya kumpiga Rihanna, adai X ni albam yake ya mwisho - Chris Brown

chris-brown-studio2
Chris Brown anafikiria kuachana kabisa na muziki siku za usoni na amesema huenda X ikawa albam yake ya mwisho. Breezy ametumia akaunti yake ya Twitter kuelezea kuchoshwa na kuandikwa vibaya kila kukicha kutokana na kosa alilolifanya akiwa na miaka 18 la kumpiga aliyekuwa mpenzi wake Rihanna.
Kupitia Twitter Chris ameandika:
X itakuwa albam ya sita na itatoka mwaka huu akiwa amewashrikisha Kendrick Lamar, Kelly Rowland, Wiz Khalifa, na Rihanna. Hivi karibuni alishoot video ya wimbo wake Love More aliomshirikisha Nicki Minaj.

Post a Comment

أحدث أقدم