
Baada ya jana Cocacola kumchukulia private jet toka Nairobi hadi Dar
es Salaam, Bongo Flava Prince, Nasib ameingia mzigoni kushoot tangazo
jipya la Cocacola. Kwenye picha za utengenezaji wa tangazo hilo
alizoziweka kwenye Instagram, Diamond anaonekana akitembea huku akinywa
soda hiyo.

إرسال تعليق