![]() |
| Ray akiwa na msichana aliyeigiza mke wake kwenye filamu hiyo |
Vincent Kigosi aka Ray, yupo location kutengeneza mzigo mpya alioupa jina, Chicken Head.
Ray ambaye ni CEO wa RJ Company inayoisimamia filamu hiyo, ameshare
baadhi ya picha za behind the scenes za filamu hiyo ambayo tafsiri yake
kwa Kiswahili ni ‘Kichwa cha Kuku’





Mke wa Ray wa kwenye filamu hiyo

إرسال تعليق