Sikiliza kionjo cha wimbo mpya wa Lord Eyes ambapo ndani yake unasikika kama kuna indirect diss kwenda kwa Ommy Dimpoz,manager wake,Izzo Bizness na Nay wa Mitego.

lord
Lord Eyes mnako anarudi na ngoma kali sana this time inaitwa “Roho Zinawauma” ambapo kionjo chake kipo hapa. Humo ndani kwa jinsi inavyosikika kama kuna diss ambayo haipo direct kwenda kwa Ommy Dimpoz ,manager wake,Izzo Business na Nay wa Mitego. Labda Lord Eyes alimaanisha kitu tofauti zaidi ya jinsi inavyosikika, so endelea kufatilia hapa kupata ufafanuzi wa mistari ndani ya hii ngoma ambayo inatarajiwa kutoka hivi karibuni.
Hii ni baadhi ya mistari  inayosikika kwenye hii teaser hii.
Mtoto kweli una mitego, lakini weusi hatutegeki.

Emmy mwenye dimpoz meneja wako si….

Simwiti kilaza na mwita kidampa

Nini unapaka Izoo uso umeng’aa
Sikiliza teaser yake hapa na subulia ngoma kamili ikitoka

Post a Comment

Previous Post Next Post