Spika
wa Bunge Mhe. Anne Makinda akiwa katika meza kuu na viongozi wa TWPG
pamoja na mtoa mada katika kikao cha Baraza hilo Spika Mstaafu Mhe. Pius
Msekwa
Naibu Katibu Mkuu wa TWPG Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa akiwakaribisha wajumbe
Katibu Mkuu wa TWPG ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (MB) akielezea Muhtasari wa Baraza hilo, Malengo na Matokeo yanayotarajiwa kwa mgeni rasmi
Mwenyekiti wa TWPG Mhe. Anna Abdallah (MB) akitoa neno la ukaribisho
Mkuu wa Mkoa wa pwani Mhe. Mwantumu Mahiza akimkaribisha mgeni rasmi kufungua Baraza la katiba kwa wabunge wanawake
Mgeni Rasmi Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akifungua rasmi baraza la Katiba kwa wabunge wanawake mjini Bagamoyo
Mgeni Rasmi Spika wa Bunge Mhe. Anne Makinda akifungua rasmi baraza la Katiba kwa wabunge wanawake mjini Bagamoyo
Makamu Mwenyekiti wa TWPG Mhe. Suzan Lyimo akitoa shukran zake baada ya ufunguzi rasmi
Picha ya pamoja
Spika Mstaafu, Mhe. Pius Msekwa akiwakilisha mada kwa wabunge wanawake kuhusu yaliyomo Kwenye Rasimu ya Katiba
Spika Mstaafu, Mhe. Pius Msekwa akiwakilisha mada kwa wabunge wanawake kuhusu yaliyomo Kwenye Rasimu ya Katiba
Baadhi ya Wabunge wakifuatilia mada kwa makini
Baadhi ya Wabunge wakifuatilia mada kwa makini
Katibu Mkuu wa TWPG ambaye pia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Mhe. Angellah Jasmine Kairuki (MB) na Naibu Katibu Mkuu wa TWPG Mhe. Dkt. Mary Mwanjelwa wakifuatilia mada ya Spika Mstaafu, Mhe. Pius Msekwa kuhusu yaliyomo
Kwenye Rasimu ya Katiba wakati wa baraza la katiba la Wabunge wanawake
walipokuwa wakichambua rasimu ya katiba. Kushoto ni Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhe. Mwantumu Mahiza
Mhe.
Lediana Mg'ong'o akichangia maoni yake wakati wa kujadili rasimu ya
katiba kwenye baraza la katiba la wabunge wanawake (TWPG) lililofanyika
Bagamoyo.
Mhe.
Magdalena Sakaya akichangia maoni yake wakati wa kujadili rasimu ya
katiba kwenye baraza la katiba la wabunge wanawake (TWPG) lililofanyika
Bagamoyo.
Mhe. Spika Anne Makinda akifuatilia kwa makini baadhi ya vipengele
vilivyomo katika kwenye baraza la katiba la wabunge wanawake (TWPG)
lililofanyika Bagamoyo.
Mhe.
Hilda Ngoye akichangia maoni yake wakati wa kujadili rasimu ya katiba
kwenye baraza la katiba la wabunge wanawake (TWPG) lililofanyika
Bagamoyo.
Mhe. Agripina
Buyogela akichangia maoni yake wakati wa kujadili rasimu ya katiba
kwenye baraza la katiba la wabunge wanawake (TWPG) lililofanyika
Bagamoyo.
Mhe.
Zarina Madabida akichangia maoni yake wakati wa kujadili rasimu ya
katiba kwenye baraza la katiba la wabunge wanawake (TWPG) lililofanyika
Bagamoyo.
Mkuu wa Mkoa wa pwani Mhe. Mwantumu Mahiza nae akifuatilia kwa makini vipengele vilivyomo kwenye rasimu ya katiba
Wabunge
wakiimba wimbo wakujipongeza mara baada ya Spika mstaafu Mhe. Pius
Msekwa kuwapitisha kwenye vipengele vya rasimu ya katiba na kuvijadili
kwa undani wakati wa baraza la katiba la wabunge wanawake linalofanyika
Bagamoyo. Picha zote na Owen Mwandumbya wa Bunge
Post a Comment