Tunda Man kutoa kazi tatu mpya hivi karibuni



Kwenye Instagram Ya Star Tunda Man [ 2ndaman ] Ameweka wazi kuwa kuna Kazi tatu mpya zina kuja na shabiki wake kuwa tayari kuzifatilia. 

1] Video Ya Qaswida

2] Video Ya Wanaona Haya Hao

3] Wimbo Mpya Unaitwa Mapenzi Yale Yale

Post a Comment

Previous Post Next Post