
Spika
wa Bunge la Afrika Mashariki(EALA)akimsikiliza Mbunge wa bunge hilo
kutoka Tanzania, Mhe Shyrose Bhanji wakati wakielekea bungeni.

Chemba ya Bunge la Afrika Mashariki inavyoonekana wakati kikao kikiendelea

Wabunge
wa Tanzania kwenye bunge la Afrika Mashariki(EALA)wakitoka ndani ya
ukumbi wa bunge hilo leo kupinga wabunge wenzao wanaoshinikiza hoja zao
kwa kutoka kwenye vikao vya bunge. Kutoka kushoto ni Mh.Twaha
Taslima,Mh.Shyrose Bhanji,Mh.Abdullah Mwinyi na Mhe Nderakindo Kessy

Mbunge
wa Tanzania kwenye bunge la Afrika Mashariki(EALA) Mhe Abdullah Mwinyi
akitoa ufafanuzi kwa waandishi wa habari baada ya kutoka nje na kikao
kuhairishwa hadi kesho

Mjumbe
wa Baraza la Wawakilishi Zanzibar, Mhe Ali Mzee (kulia)akizungumza na
wabunge wa Tanzania kwenye Jumuiya ya Afrika Mashariki(EALA)kutoka
kushoto ni Mh.Shyrose Bhanji,Mh.Nderakindo Kessy,Mh.Twaha Taslima na Mh.
Abdullah Mwinyi
Post a Comment