AFYA:- FAIDA YA LOZI (Almond)~

~~~~FAIDA YA LOZI (Almond)~~~~
A/Alleykum;
Lozi inajulikana kama ni King katika jamii ya njugu, ina elements karibia ya zote zinazohitajika katika mwili wa mwanadam. Ni chakula chenye kutia nishati mwili na akili.
 Kuna aina mbili za Lozi, kuna lozi zile tamu na kuna lozi chungu kuna zenye ngozi nyembamba (thin-skinned) na kuna zenye ngozi nene(thick-skinned) hii ni katika aina ya lozi tamu ambazo ndio tunazozitumia na tunahitajika kutumia ama zile lozi chungu zina prussic acid ambayo ni sumu hata hivo hizo lozi chungu zinatumika katika mambo ya kutengenezea cosmetics, mafuta ya lozi (almond oil) pia na perfumes.
 Ndani ya lozi pia kuna upatikanaji wa copper, iron phosphorus na Vitamin B, vitu hivi vinasaidia katika upatikanaji wa new blood cells, haemoglobin pia inasaidia ubongo, mishipa, mifupa, moyo na ini kufanya kazi kwa wepesi kabisa. Lozi insaidia kupanua na kutia nguvu muscles za ubongo katika kuongeza fahamu.

Old ages:Utu uzima wa kiumri.
 Chukua lozi kiasi na uziroweka katika maji na baadae utoe ngozi yake ikisha uzisage na kufanya paste kwa kutumia kama siagi, hii huongeza proteins ndani ya mwili na hasa kwa watu wazima, pia unaweza kutia katika maziwa na ukanywa hii nzuri kwa watoto.
 
Anaemia: upungufu wa damu
 Kuna upatikanaji wa copper katika lozi katika rate 1.15mg per 100 grams, copper pamoja na iron na vitamins hizi zinatumika kama ni catalyst katika mfumo wa blood haemoglobin. Kwa hiyo wenye maradhi ya upungufu wa damu ni vizuri mtu kutumia lozi kwa sana.
 
Constipation:kupata choo
 Kwa wale wenye matatizo ya kupata choo, ni vizuri kula lozi wakati wa usiku kabla ya kwenda kulala.
 
Impotency:upunguvu wa nguvu za kiume
 Kwa wale wenye upunguvu wa nguvu za kiume na za kike, wale lozi kwa wingi.
 
Skin Disorder:maradhi ya ukoma
 Kwa wale wenye maradhi ya ukoma, wasage lozi iwe laini ikisha wajipake pale palipoathirika, na pia kwa wale wenye pimples.
 ~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~
Food Value: Minerals and Vitamins
 Moisture 5.2% Calcium 230 mg
 Protein 20.8% Phosphorus 490 mg
 Fat 58.9% Iron 4.5 mg
 Minerals 2.9% Niacin 4.4 mg
 Fibre 1.7% 
Carbohydrates 10.5%
~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~~`
Tunda hili ni hodari na ni Dawa ya Kutibu Ugonjwa wa Wasiwasi na pia dawa hodari kwa kuongeza na kuimarisha AKILI na hasa watoto wadogo mara nyingi wanapewa
ktk kuimarisha Akili ktk ubongo....''Wabillahy Towfiq'':
FAIDA YA LOZI (Almond)~~~~

No comments:

Post a Comment