‘Aliyemteka’ Dk Ulimboka ahukumiwa kwenda jela mwezi mmoja au kulipa 1,000/=

 
Taarifa ya Dickson Ng'hily via JF inasema:
Joshua Mulundi (21) raia wa Kenya aliyekuwa anatuhumiwa kumteka na kumtesa Dk Ulimboka na baadaye kuachiwa huru na mahakama na baadaye kufunguliwa kesi ya kulidanganya jeshi la polisi, ahukumiwa kifungo cha mwezi mmoja jela ama kulipa fine ya shilingi elfu moja (1000) baada ya kukiri kosa lake.

Hata hivyo mshtakiwa huyo alifanikiwa kulipa faini hiyo na hivyo kuachiwa huru baada ya mmoja wa waandishi wa habari kumopatia hiyo pesa.

Post a Comment

Previous Post Next Post