
Kupitia akaunti yake ya Instagram Madee ame-share cover ya single hiyo mpya iliyotengenezwa MJ Records.
Meneja wa Tip Top Connection Hamis Tale aka Bab Tale ameiambia Hisia kuwa wimbo huo utatoka rasmi Jumatatu ijayo (September 9).
Hivi karibuni Madee
alifunguka juu ya mafanikio makubwa yaliyoletwa na ‘Sio Mimi’ na kusema
mpaka sasa amefanikiwa kuingiza zaidi ya milioni 130 kutokana na show
mbalimbali alizopata baada ya kuachia wimbo huo. Madee ni miongoni mwa
wasanii ambao wako katika tour ya Serengeti Fiesta 2013.
إرسال تعليق