![]() |
HHP (kushoto) akiwa na Diamond jijini Nairobi |
Wakati
wa matembezi yake aliyoyapa jina, Daraja Walk nchini Tanzania, rapper
wa Afrika Kusini, HHP alifanikiwa kufanya collabo na wasanii kadhaa
wakiwemo Mwana FA, AY, Cpwaa, Henry the 1st na Damian.
Rapper huyo alirekodi wimbo na Mwana FA uitwao ‘Maisha Hayaiishi
Hapa’ utakaotumika kama soundtrack ya documentary ya Daraja Walk
Tanzania.
Akiwa nchini Kenya, HHP pia alikutana na Diamond na kufanya wimbo na akasema kufanya kazi na Diamond imekuwa ni heshima kwake.
“Working with Diamond of Tanzania has been an honour and pleasure. #UmojaMusic,” ametweet jana.
Rapper huyo pia ameshare baadhi ya mambo aliyojifunza Tanzania kama ifuatavyo:
#DarajaObservation: in Tanzania, most people don’t do conventional
breakfast ya Kelloggs & eggs. It’s usually soup called #Kongoro.
Dopeness
#DarajaObservation: White South Africans in Tanzania are called #Kaburu. There’s a massive community this side.
#DarajaObservation: the word for crocs or shoes that look like them
in Tanzania is Yebo-Yebos. I was rocking mine. #NoShameInMyGame
إرسال تعليق