Jaji Joseph S. Warioba ataka kuzungumza na waandishi kesho



Wakuu poleni n a majukumu yetu ya kila.

 
Mwenyekiti wa Tume ya Mabadiliko ya Katiba, Jaji Joseph S. Warioba atafanya mkutano na Waandishi wa Vyombo vya Habari kuzungumzia maendeleo ya kazi za Tume, siku ya kesho Alhamisi, Septemba 26, 2013 katika Ukumbi wa Karimjee Jijini Dar es Salaam kuanzia saa 4:00 asubuhi na kuendelea.

Wanahabari mnakaribishwa.

Post a Comment

Previous Post Next Post