
Mh. Jaji Mkuu wa Jamhuri ya Muunngano wa Tanzania Mohamed Chande Othuman akiwaasa
Hakimu Wakazi alipokuwa anafungua mafunzo ya mahakimu hao
yaliyoandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora kwa
kushirikiana na Ofisi ya Kamishna Mkuu wa Haki za Binadamu wa Afrika
Mashariki inayoendelea jana katika hoteli ya Holiday Inn jijini Dar es
Salaam.

Mtaalamu
wa Masuala ya Utawala bora wa UNDP Tanzania Grainne Kilcullen akiwaasa
Mahakimu Wakazi wakati wa ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na
utoaji wa haki yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn Jana jijini Dar
es Salaam.

Mweyekiti
wa Tume za Haki za Binadamu akionea na baadhi ya waandishi wa habari
mara baada ya ufunguzi wa mafunzo ya haki za binadamu na utoaji wa haki
kwa mahakimu wakazi yanayofanyika katika hoteli ya Holoday Inn jana
jijini Dar es Salaam.Picha zote na Eleuteri Mangi -MAELEZO
Sep
18

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akiwa katika picha ya pamoja na Balozi wa
Heshima wa Tanzania jijini San FranciscoMh.Ahmed Issa,(wapili kushoto)
muda mfupi baada ya kufungua ofisi za ubalozi wa Tanzania jijini San
Francisco nchini Marekani jana jioni.Kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini
Marekani Mh.Liberata Mulamula na kulia ni mke wa balozi Ahmed Mama
Sherry julin Issa.

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akikata utepe kufungua rasmi ofisi ya ubalozi
wa heshima(Honorary Consulate) wa Tanzania jijini San Francisco nchini
Marekani jana jioni.Kulia ni Balozi wa heshima wa Tanzania jijini San
Francisco Mh.Ahmed Issa na kushoto ni Balozi wa Tanzania nchini Marekani
Mh. Liberata Mulamula na wapili kushoto ni Mke wa Balozi Mama Sherry
Julin Issa.

Rais
Dkt.Jakaya MrishoKikwete akizungumza na baadhi ya Watanzania waishio
jijini San Francisco Marekani jana jioni.Rais Kikwete yupo nchini
Marekani kwa ziara ya kikazi ambapo pamoja na mambo mengine atahutubia
kikao cha 68 cha Umoja wa Mataifa Jijini New York Marekani.

Rais
Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete akisalimiana na baadhi ya Watanzania waishio
jijini San Francisco Marekani muda mfupi baadaya kufungua ubalozi wa
heshima wa Tanzania na kuzungumza nao jana jioni.Picha na Freddy Maro-IKULU
إرسال تعليق