JAY Z AKIJIFUA KABLA YA SHOW YA MADE IN AMERICA !

2013 Budweiser Made In America Festival - Day 2 - Backstage
JAY Z AKIJIFUA KABLA YA SHOW
Swahili Tv imepata habari na picha kutoka kwa watu fulani wa karibu wa Jay ambao walikuwa nae kwenye ile show ya Made in America ambayo ilianza mwaka jana na inaandaliwa na beer ya Budweizer.Show hiyo inajumuisha wasanii mbali mbali ila huwa inamchukua Ja Z kama Headliner kwani ndiye mwakilishi(ambassador wa Budweizer America)
    Chanzo chetu hicho kilisema Jay Sikuzote huwa anfanya Pull ups back stage kabla ya show ili kujikeep fit na ku refresh mind yake kabla ya show kama inavyoonekana kwenye picha hapo chini.



Wiz Khalifa naye inasemekana yeye huwa anapenda kuskae kama alivyokuwa hapo chini kabla ya show hiyo ya Made in America ambayo mwaka huu imefanyika katika mji anaotoka Wiz wa Philadelphia.
2013 Budweiser Made In America Festival - Day 2 - Backstage
WIZ KALIFA YEYE HUPENDA KUSKATE KABLA YA SHOW 
- Swahil tv

Post a Comment

Previous Post Next Post