Kamishna Mussa Afukuzwe Kazi – Padri. UVCCM walis



Ukisoma magazeti ya leo utao
na kuwa Padri aliyemwagiwa acid, Fr.Joseph Amelnso Mwangamba anasema kuwa kamisha wa Polisi Zanzibar, Mussa Ali Mussa, afukuzwe kazi. Kauli hii imekolezwa zaidi na kupakwa rangi, mafuta na wanja na taasisi yao inayoitwa Tanzania Episcal Conference (TEC) kuwa kamishna ‘ameshindwa kazi, na afukuzwe kazi’.
Sasa hii itakuwa kazi kweli kweli Tanzania na hasa Zanzibar, kuwa kila atakayesema kuwa huyu afukuzwe kazi just kwa sababu hajakidhi mahitaji yao, itakuwa kweli kuna uongozi hapo nchini: Waride Bakari Jabu alisema kuwa Ponda akamatwe, na alikamatwa haikuchukua hata siku moja. UVCCM walisema Mansour afukuzwe CCM, naam ilitekelezwa hapo hapo. UVCCM wamesema kuwa attorney general, Othman massoud afukuzwe kazi — hili jungu linawivishwa na litawiva tu – atafukuzwa kazi (yeye mwenyewe anajua hilo).
Kesho na kesho kutwa, Kadinal Pengo akisema na Shein naye hafai akufukuzwe kazi (atafukuzwa), mwengine akisema kuwa Kikwete naye hafanyi mambo sawa sawa – pia tumfukuze kazi. UVCCM wamesema kuwa hata Maalim Seif (VP1) afukuzwe kazi (kwanza akamatwe na ashitakiwe) – pia hilo liko jikoni, linafanyiwa kazi.
Nchi hii inaongozwa kwa misingi kama hii ya unafik na fitna tu. Lakini ni sawa, maana viongozi wenyewe wamepatikana kw amfumo huo :tunachukua, tunaweka waaaaa! in fact, hakuna kiongozi aliyeshinda kihalali hapa Tanzania, na Zanzibar/si rais, si mbunge, si mwakilishi, si diwani. That’s the hard facts, ambazo hazitakiwi kusemwa. Tunatakiwa kumungunya maneno tu.
Sasa, tuangalie story ya Padri wetu aliyemwagiwa tindikali — chambelecho Obama na Syria (Obama anaema sana sana kwa kurudi kauli hii:the story body hasn’t changed yet — yaani bado Syria anazo silaha za sumu/na amezitumia) — sasa story body ya Padri: anasema
1.yeye amemuona aliyemwagia tindikali (sasa polisi fanyeni identification paredi padre amtambue)/be professional please
2. anasema ametishiwa maisha yake miezi mitatu sasa: ushahidi uko wapi, kwa nini polisi mlilala tu mtu mkubwa kama huyu ametishiwa maisha yake. kama nilivyosema juzi, kwa nini mnaogopa kuhoji watu wa kanisa na padre mwenyewe amabo anao ushahidi wa kutosha. kwa nini mnaogopa?
3. padre anasema ameripoti polisi kadhia yote hii, kwa nini Mussa Ali Mussa, na timu yako hutaki kuweka hadharani vielelezo hivi muhimu?
4. kwa nini padre ayaseme yooooote haya Dar, na sio pale mnazi mmoja juzi?
– Congress wamemjibu Obama, unless you come up with good evidence, hatukokuruhusu kwenda vitani Syria, you have to change your story body—sasa ushahidi ni muhimu sana; sana — sio mavamba mavamba tu jamani?
5. kesho na keshokutwa watasema naye Said Mwema (IGP) afukuzwe kazi, sasa nani ataongoza nchi? kwa nini jamani mnakubali jeshi la polisi kufanywa kama ‘sanamu la kisiasi’ limekuwa very much abused.
Mnachaguana, kuteuana bila kuzingatia merit, hayo ndio matokeo yake!
Tumefika pahala, mpaka miswada ya sharia inapita kwa nguvu, mtutu wa bunduki – results ndio kama hizo.
CCM Imara Daimaaaa!

Post a Comment

Previous Post Next Post