Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana
akimpa mkono wa pole John Shilindi mtoto wa Balozi wa Shina namba 1 kata
ya Dakama wilaya ya Maswa aliyefariki hivi karibuni.
Kikundi cha Ngoma kikionyesha uwezo
wake wa kucheza ngoma ya Pudini ambao ni wasukuma wachunga Ng'ombe
wakati wa mapokezi ya Katibu mkuu wa CCM wilayani Meatu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akiwasili wilaya ya Meatu tayari kwa ziara ya siku moja wilayani hapo.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana akishiriki kupasua mbao baada ya
kuzindua mradi wa ufundi selemala katika kata ya Bomani, wilaya ya Maswa
mkoani Simiyu.
Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana moja ya shina la CCM kati ya mashina mengi aliyofungua wilayani Meatu.
Katibu
Mkuu wa CCM Taifa Ndugu Abdulrahman Kinana akikagua Daraja la la mto
Mwahnuzi ambalo ni moja ya sehemu ya utekelezaji wa ahadi za Rais.
Katibu Mkuu wa CCM akiongozana na
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape Nnauye wakiangalia nyumba
zinazojengwa kwa ajili ya watumishi wa Halmshauri,wilayani Meatu.
Mbunge
wa Kisesa Luhaga Mpina akihamasisha watu waliofurika kuhudhuria mkutano
wa hadhara uliofanyika wilayani Meatu mkoa wa Simiyu
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye akihutubia wakazi wa wilaya ya Meatu katika viwanja vya kituo cha
mabasi cha Mwahnuzi mkoani Simiyu.
Katibu
Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana leo amesimikwa kuwa Chifu wa
wasukuma wilaya ya Meatu mkoa wa Simiyu na kutambulika kama Chifu
Kilabanya.
Katibu wa NEC Itikadi na Uenezi Nape
Nnauye ,Katibu Mkuu wa CCM Ndugu Abdulrahman Kinana pamoja na Mbunge wa
Maswa Ndugu John Shibuda, Shibuda aliieleza hadhira kuwa Kinana ni
rafiki yake mkubwa na wasiku nyingi wakati Nape alielezewa kama mtoto
wake kwani yeye na marehemu Nnauye walikuwa marafiki wa kushibana.
Katibu Mkuu Ndugu Abdulrahman Kinana
akiwahutbia wakati wa Mwanhuzi wilaya ya Meatu mkoani Simiyu, ambapo
Katibu Mkuu alipata nafasi ya kugusia suala la Katiba,matatizo ya maji
na umeme ambayo vyote ameyapatia ufumbuzi.
---
- ATAKA VIONGOZI WA CHAMA KUFANYA KAZI KWA KUJITOLEA
- AWAAGIZA VIONGOZI WA CHAMA KUWA KARIBU NA MABALOZI WA NYUMBA KUMI
- APONGEZA UTEKELEZAJI WA ILANI YA UCHAGUZI
- ASEMA KATIBA HAITABADILISHA MAISHA KAMA KUFUMBA NA KUFUMBUA MACHO.
- AWAAMBIA WATENDAJI WA SERIKALI HAWANA BUDI KUTEMBELEA WANANCHI BADALA YA KUJIFUNGIA OFISINI
- ASIKITISHWA NA UZEMBE WA KUTOWAPA TAARIFA WANANCHI KWA WAKATI
Post a Comment